The book is currently out of stock

Parameters
More about the book
Yaliyomo ni kazi za Jim Harries alizoandikwa tangu mwaka wa 2006 mpaka 2019. Maandishi yake yanaangalia sana utumizi wa lugha kwa huduma ya Ukristo kwa bara la Afrika. Anataja mada mengine pia; utume, mafunzo ya Bi- blia, utamaduni wa Kiafrika, maendeleo, uchawi, nk. Alipendelea ayaweke ma- andishi yake pamoja ndani ya kitabu kimoja. Jim anatumaini maandishi yake yatakuwa himizo kwa wenyeji wa Afrika ya Mashariki kuandika maono ambayo wamepewa na Bwana, na yale waliojifunza kulingana na huduma yao.
Book purchase
Jarida juu ya Maisha ya MwAfrika katika huduma ya Ukristo, Jim Harries
- Language
- Released
- 2019
- product-detail.submit-box.info.binding
- (Hardcover)
We’ll email you as soon as we track it down.
Payment methods
No one has rated yet.